Details
Description
Nyumba 3 katika Kiwanja kimoja. Zinauzwa kwa BEI YA DHARULA ENEO NI VIWEGE-MAJOHE/GONGOLAMBOTO Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800. NYUMBA YA KWANZA: Vyumba 3 vya kulala (mast 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. NYUMBA YA PILI: Ina vyumba 2, Sebule,Jiko na Choo cha Familia. NYUMBA YA TATU: Ina Chumbankimoja cha kulala, Jiko na Choo chake. Ndani ya Fensi kwa usalama. ____ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa MNUNUZI) ____mpg