Description
ALERT‼️‼️ PRICE ON REQUEST‼️‼️ Je unatufuta apartments nzuri zilizojengwa kwa viwango vya juu kwa ajili ya makazi?? Inter century Apartments ndoo suruhisho lako.Tunauza apartments za kisasa kabisa kuanzia chumba kimoja hadi vinne,na bei inaendana na quality ya nyumba. Ndani utapata huduma ya:- *Intercom *Lift *Milango ya sound proof *Jiko na makabaki *Fridge *Parking ya kutosha *Gym Tumapatikana Mbezi beach karibu na shomo Park House, kwa mawasiliano zaidi tupigie Karibuni sana #quality #parking #luxuryhomes #luxuryhomestyle