Description
1. ZIKO 3 KWA COMPOUND MOJA. KILA MOJA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (K1 MASTER) ,SEBLE,JIKO, DINNING NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENSI. 2. ZINA TILES,GYPSUM,SLIDE WINDOWS,PARVING 3. NYUMBA HAIKO MBALI NA LAMI 4. UKUBWA WA KIWANJA SQM 1000 5. NYUMBA ZINA HATI(TITLE DEED) 6. GHARAMA ZA KUPELEKWA SITE ELFU 20