Details
Description
Hapa kina nyumba mbili, Ghorofa ya Sakafu 2 na nyumba ya chini. Kuna jumla ya Apartments 9. 8 ni Apartments za Chumba na Sebule na Apartment 1 ina vyumba viwili, S3buoe, Jikk na Choo chake. Kiwanja kina ukubwa wa 800. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___________UkO Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.