Details
Description
Hapa kuna jumla apartments 6. Za chumba na Sebule zipo 2. Kodi kila moja ni Tshs.100,000/Mwezi. Pia kuna za chumba kimoja kimoja 4. Kodi kwa mwezi kila moja ni Tshs.50,000. Jumla hizi nyumba zinaingiza Tshs.400,000/Mwezi. Zote zina Wapabgaji sasahivi. NI CHANZO KIZURI CHA PESA KISICHOUMIZA KICHWA. Kiwqnja SQM.200. KIMEPIMWA. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) ________mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.