Description
#APARTMENT FOR RENT AT KIMARA TEMBONI @500K *6 '''''''''''''''' #VYUMBA 2 VYA KULALA (KIMOJAWAPO NI MASTER) #SEBULE KUBWA #JIKO KUBWA LA KISASA #PUBLIC TOILET #GARDEN #PAVING #BEI NI 500K X 6 ?? APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU ?NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA INAPANGISHWA NI YA GOROFA YA KWANZA #malipo ya dalali 500,000/= #service charge 20,000/= ---------------------------------------------- #Kama_unaNYUMBA_unaipangisha/kuuza_pia_wasiliana_nami. ?Ndani_ya_DSM_yote