Description
#HOUSE FOR SALE @400M #Sinza_Mugabe #Nyumba inajumla ya Vyumba 12 (kati ya hivyo 10 ni master bedroom), #eneo lina ukubwa wa Sqm 400, hati Miliki ipo, eneo linafaa kwa kupangisha, Lodge, hostel..nk #bei 400,000,000/= #ipo Sinza Mugabe, umbali wa dakika 3 kutoka main road