Details
Description
Hii ni nyumba nzuri, mpya na ambayo ina Wapangaji. Ipo MAJOHE KWA NGOZOMA, Jirani na Chuo Kikuu cha KAMPALA. Kiwanja kina ukubwa wa SQM.400. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. MPANGILIO: Kuna Apartment 3 za Chumba na Sebule. Chumba na Choo chake zipo 3 pia. Chumba kimoja (Singles) zipo 2. Na Chumba 1, Sebule, Jiko na Choo chake ipo 1. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) __________mpg Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.