Details
Description
Hizi ni Apartments 5 za vyumba 2 kila moja. Jumla kuna vyumba 10. Eneo ni KITUNDA KWA MPEMBA, Njia ya KIVULE. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 460. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mskv