Details
Description
Hapa kuna nyumba 5 pamoja. Jumla ya vyumba 12. 2 kati ya vyumba hivyo vina Vyoo ndani na vingine Vyoo ni vya nje. Eneo ni zuri na unahitaji kupanda Daladala moja tu unafika Mjini. Eneo ni CHANIKA BUYUNI/ILALA. Wahi kabla hujachelewa. ________ ANGALIZO: Mqlipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _______mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.