09.07.2022Dar es Salaam

Apartment 4 kwa Sh Mil. 300

TZS 300 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Square units
612 m2

Description

• Mahali: Boko Mianzini, kilomita 1 kutoka Bagamoyo Road • Eneo la Kiwanja: Sqm 612 • Nyaraka: Hati ya wizara • Bei: TZS Mil. 300 (kwa zote 4) • Kupelekwa site kuona: TZS 30,000 . • Apartment 2 kila 1 ina vyumba V3 kimojawapo masta, sebule, jiko na washroom ya jumuiya • Apartment nyingine 2 kila 1 ina vyumba viwili, sebule, jiko na washroom ya jumuiya • Apartment zote zipo kwenye uzio mmoja ila kila 1 inajitegemea kwa umeme na maji • Apartment zote zina malumalu sakafuni, gypsum darini, feni

AssetKONKI

Member since 2014.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam