Description
NYUMBA INAUZWA Mahali: GOBA kwa Robert/Magetini Ina vyumba vitatu (viwili masters), public toilet mbili (ya nje na ndani), sitting na dinning room, jiko, store ndogo na underground store. Ukubwa wa kiwanja: 420sqm hi Umbali toka barabarani: 1km Hati ipo hatua za mwisho mnunuzi atakuja kumalizia mwenyewe na akiitaka ataipata ndani ya siku 10