Description
WEKEZA MAKONGO JUU ●Eneo lenye Nyumba kubwa yenye vyumba vitatu pamoja na servant quater mbili ambazo ziko na wapangaji tayari inauzwa. ●Eneo linaukubwa wa sqm 1000, Document za umliki hati za mauziano. 》Eneo linafaa sana kujenga apartment za kupangisha za vyumba viwili na za chumba kimoja na sebule maana soko lake ni kubwa sana huku makongo juu ●Kwa mwekezaji anayetqfuta eneo la kuwekeza nyumba za makazi kwa makongo juu hili ni sehemu sahihi sana kwake. Asking price ni 170milion, maongezj yapo