Details
Description
Hii nyumba upande wa ku-Park Gari tu ndio unahusiana na wenzako. Wewe unaingia pekeyako. Ina vyumba 3 (Masta 1) Sebule,Jiko, Dining-room na Choo cha Familia ndani. Inajitegemea LUKU na Maji. Ni jirani na Kituo cha. Daladala. Eneo ni Sinza. Kori inahitajika ya Miezi 6. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja. Kuona ni Tshs.20,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mmD