TWO BEDROOMS FOR RENT AT KIJITONYAMA STAND ALONE HOUSE
TZS 700 000
Details
Terms
6-months-in-advance
Description
NYUMBA HII INATIZAMA BARABARA YA RAMI, MTAA NIMZURI NA USALAMA UPO,
INA VYUMBA VIWILI TUU VYA KULALA VYENYE CHOO NDANI VYOTE VIWILI,PAMOJA NA PUBLIC TOILET, SITTING ROOM NA DINING ROOM PIA VIPO.
WAHI BILA KUKOSA