Details
Description
NYUMBA INAPANGISHWA - IKO PEKE YAKE MKOA - DAR-ES-SALAAM-Tz WILAYA - KINONDONI MAHALI - BOKO MIANZINI ___ KODI - TSH 800,000/ MALIPO YA MIEZI 6 _ NYUMBA YENYE ____ Vyumba vitatu self moja Self - moja Sebure Jiko Security fanced dinning Air condition Public toilet Fensi Garden Sliding Windows Tailiz NOTE : INA BOY KOTA YA CHUMBA NA CHOO _ BILA KUSAHAU NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA @Dalali __ GHARAMA YA KUONA NYUMBA ELFU 20000 ( SERVICE CHARGE ) _ PIGA SIMU