Details
Description
NYUMBA INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-SALASALA _______________ NYUMBA NZURI YA KISASA ___________ YA FAMILIA KUBWA ______________ INAJITEGEMEA _______ YENYE:- Vyumba vitatu vikubwa vya kulala # kimoja ni #Master full #AC #Heater ya maji moto #Dinning #Sebule kubwa yenye #AC #Jiko zuri lenye #Makabati #Stoo #Choo/#Bafu vya ndani public #Gypsum #Tiles #Slides #Windows #Umeme upo wa #Luku yake #Maji yapo ya #bomba #24hrs Cars #Parking Space ipo Nje #Pavingblocks #Fencedhouse ________________________ _______________ KODI MILIONI 1.3 KWA MWEZI _____________ MALIPO YA MIEZI 6 ___________