Details
Description
hii nyumba yetu panafaa sana kwa matumizi ya Biashara kulingana na ukubwa na size yake! soma hayo maelezo kwa umakini ukiwa tayari kuichukua wasiliana na 0713-671-656 au 0693-167165 kuongea na mwenye nyumba 1k1 inao maslahi kubwa kufanya Duka la Jumla kuuza, . vyakula . sabuni . mafuta ya kula . vyombo aina mbalimbali . hata vifaa vya ujenzi kodi ya mwaka mmoja yaani Tsh 36,000,000/= wajibu. kila la kheri.. karibuni wote. Asalamoaleikum WRWB....