21.10.2022Dar es Salaam

Nyumba inauzwa mbezi

TZS 55 000 000

Description

nyumba inauzwa ipo mbezi kibanda chmkaa nyumba nimpiya inaviumba vitatu maji yapo umeme upo kutoka sindi dakika chache tu maji yapo umeme upo bei milioni hamsini natamo maongezi

Dalalitimotheo

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam