Details
Description
Ipo Oysterbey ina vyumba vitatu vya kulala vyumba vyote ni self ina jiko sitting room dinning room public toilet slide window parking na imo ndani ya fensi na ina maji air-condition garden na ina boycoter, Standbay Generator shaded car port water and Electricity.