20.11.2023Dar es Salaam

Nyumba Inapangishwa Mikocheni

TZS 1 000 000

Details

Terms
6 Months in advance

Description

Ipo Mikocheni B ina vyumba vitatu vya kulala chumba kimoja ni self ina jiko sitting room dinning room public toilet slide window parking na imo ndani ya fensi na ina maji air-condition garden na umeme upo ipo mtaa mzuri.

Juma I.

Member since 2023.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam