22.12.2022Dar es Salaam

Nyumba Inapangishwa Mikocheni

TZS 1 300 000

Details

Terms
6 Months in advance

Description

Ipo Mikocheni B ina vyumba Vinne vya kulala vyumba viwili ni self ina jiko sitting room dinning room public toilet slide window parking na imo ndani ya fensi na ina garden na umeme, Air-condition na ipo mtaa mzuri kalibuni sana.

Musa S.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam