01.11.2022Dar es Salaam

Nyumba Inapangishwa Mikocheni

TZS 1 000 000

Details

Terms
6 Months in advance

Description

Ipo Mikocheni B ina vyumba Vinne vya kulala vyumba viwili ni self ina jiko sitting room dinning room public toilet slide window parking na imo ndani ya fensi na ina maji air-condition garden na umeme upo ipo mtaa mzuri kalibuni.

Gaspa J.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam