Details
Description
Ipo Mbezi Beach Makonde ina vyumba vitatu vya kulala chumba kimoja ni self ina jiko sitting room dinning room public toilet slide window parking na imo ndani ya fensi na ina maji air-condition na umeme upo na ipo mtaa mzuri,haiko mbali na barabara.