Details
Description
APPRNTMENT YA KUPANGISHA FULL FURNITURE BEI ILIYOSIMAMISHWA:$ 1200 kwa Mwezi IPO ENEO: MBEZI BEACH [DAR_ES_SALAAM] MASHARTI YA MALIPO: Ni miezi sita na kuendelea ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ #2bedrooms #1bathroom #sittingroom #dinningroom #kitchen #indoortoilet #A/C [Description] Nyumba ni nzuri sana kwa kuishi na mtaa ni mzuri sana. Kama ukija kuona nyumba hii service charge ni 20000. Mpaka tukupatie nyumba hautachajiwa siku nyingine. Naukiipenda nyumba hii ukilipa miezi sita+na mwezi wa dalali kiongozi. [#propertymbezibeachkiongozi.}. .