Details
Description
#APARTMENT INAPANGISHWA GOBA NJIA NNE DAKIKA CHACHE SANA MPKA SITE, NYUMBA YA NGUVU SANA HII BOSS TEMBEA NA HELAAA .. .. ✅Sebule kubwa ✅Vyumba 2 vya kulala, ✅Kimoja master ya nguvu sana ✅Jiko open kitchen ✅Full AC ✅Umeme na Maji mita yako ✅Full paving ✅Choo cha familia .. .. Hapa zipo nyumba 4, ila hii ndio ipo waziii Nyumba kali sanaa mteja tembea hakikisha uji kutaliiii .. .. Kodi 600, 000/=×6 . .