Details
Description
#NYUMBA_INAUZWA #BANGALOO IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-MBEZI BEACH UPANDE WACHINI CONNER PLOT HOUSE , SQM 1500 NYARAKA ZA UMILIKI HATI KAMILI DOCUMENTS TITLES DEED NYUMBA NZURI YA KISASA YA FAMILIA KUBWA INAJITEGEMEA YENYE;- Vyumba vitano vya kulala Vitatu ni Master makabati, Dinning, Sebule , lenye Stoo Choo/Bafu vya ndani public price Milion 270 Maongezi