Details
Description
VYUMBA SITA VYA KULALA INAPANGISHWA STAND ALONE INAJITEGEMEA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-MIKOCHENI KWA NYERERE —————————————————— KODI U$D 700/=KWA MWEZI _________________ MALIPO YA MIEZI 6 ______________ ________ IKO PEKEE YAKE KWENYE FENSI _____________ YA KIFAMILIA _______ YENYE:- Vyumba Sita vya kulala #Vikubwa vitatu ni master Sebule #dinning #Ac #Jiko zuri lenye #Makabati #Gypsum #Tiles #aluminium #Windows #Umeme upo wa #Luku yake #Maji yapo ya #bomba #24hrs Cars #Parking Space ipo Nje #Pavingblocks #fencedhouse