Details
Description
VYUMBA VITATU VYA KULALA INAPANGISHWA VILLA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-MBEZI BEACH ———————————————————- KODI TSHS 1,300,000/=KWA MWEZI —— MALIPO YA MIEZI 6 —— IKO PEKEE YAKE KWENYE FENSI ____________ YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba Vitatu vikubwa vya kulala vyote ni Master #Sebule kubwa#Dinning Jiko Lenye makabati #Choo/Bafu vya public#Vyandani Full AC #Gypsum #Tiles #Slides # Windows #Umeme upo wa #Luku yake #Maji yapo ya #bomba #24hrs Cars #Parking Space ipo Nje Pervingblock FencedHouse Garden __