Details
Description
For • VYUMBA VITATU VYA KULALA INAPANGISHWA STAND ALONE INAJITEGEMEA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-SALASALA MAJENGO ———————————————————- KODI TSHS MILIONI 1,000,000/=KWA MWEZI —— MALIPO YA MIEZI 6 —— IKO PEKEE YAKE KWENYE FENSI ____________ YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba Vitatu vikubwa vya kulala Kimoja Wapo ni Master #Sebule kubwa#Dinning Jiko Lenye makabati #Choo/Bafu vya public#Vyandani #Gypsum #Tiles #Slides # Windows #Umeme upo wa #Luku yake #Maji yapo ya #bomba #24hrs Cars #Parking Space ipo Nje Pervingblock FencedHouse Garden _______________ Nione @dalali —— Pia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA