Details
Description
VYUMBA VIWILI VYA KULALA INAPANGISHWA APARTMENT IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-GOBA KINZUDI ———————————————————- KODI TSHS LAKI 300,000/=MWEZI —— MALIPO YA MIEZI 6 —— APART YA KISASA ____________ YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba viwili vikubwa vya kulala kimoja wapo ni #Master #Sebule kubwa# Jiko Zuri kubwa #Choo/Bafu vya public#Vyandani #Gypsum #Tiles #Slides #Windows #Umeme upo wa #Luku yake #Maji yapo ya #bomba #24hrs Cars #Parking Space ipo Nje #pervingblocks FencedApart