Details
Description
#FULLY_FURNISHED INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM MAHALI,MBEZI BEACH UPANDE WACHINI __________________ KODI USD 700$ /=KWA MWEZI MALIPO KUANZIA MIEZI (SITA)SITA) _____________________ #standbyGenerator #24/7security ____________ KUBWA YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba Viwili vya kulala, #kimoja_masta #Sebule Kubwa #dinning #Jiko zuri kubwa lenye makabati #Choo/#Bafu vya ndani public #AC #heater #Gypsum #Tiles #Garden #Pavingblocks #Umeme upo wa #Luku yake #Maji yapo ya #bomba #24hrs Cars #Parking Space ipo #FencedApart PAMOJA NA MALIPO YA KODI YA MWEZI 1 WA @dalali ____ Pia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA