07.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

House for Rent at Bahari Beach

TZS 1 500 000

Details

Terms
6-months-in-advance

Description

House for rent, located at Bahari Beach, nyumba ya vyumba vinne vya kulala vyote ni master inapangishwa Bahari Beach, sebule, Jiko lenye makabati, dinning na choo cha familia, Kuna fences, parking space ya gari, luku ya umeme na Mita ya maji ni vya kujitegemea, Please for more details you may call me.

Jimmy mollel

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam