03.05.2025Dar es Salaam

APTS. ROOM 2,TSH 500k SALASALA

TZS 500 000

Details

Terms
6 Months in advance
Price per square unit
No
Square units
1000 m2

Description

Hapa ni Salasala ya mwanzo. Hizi ni nyumba mpya za kisasa. Hizi hazihitaji Ramli na kujiuliza sana. Ni nyumba mpya ambazo hazijawahi kukaliwa. Jumla zipo 6 na hazina muda mrefu zitaisha zote. Vyumba vya kulaa viwili, ambapo kimoja ni masta. Pia kuna Sebule,Jiko,Dining area na Choo cha Familia ndani. Kila moja inajitegemea kwakila kitu isipokuwa Parking pekee ndio ya ku-share. ____ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja. Kuona ni Tshs.20,000. (UNALIPA WEWE MPANGAJI) ___sls

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam