Details
Description
Appartiment ya vyumba viwili vya kulala kimoja ni master, Sebule, Jiko zuri lenye makabati, Choo cha public, Bei ni laki nne kamili, Nyumba ipo kunduchi dar es salaam Tanzania, Luku yake ya umeme, maji yanatoka masaa yote, Kuna fences, parking space ya gari ipo. Kwa maelezo zaidi karibu tuwasiliane.