02.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam
Details
Description
Appartiment for rent, Chumba kimoja master, sebule na jiko nyumba inapangishwa Tegeta wazo kontena, Luku yake ya umeme, maji yanatoka, fences ipo, Bei ni laki mbili na hamsini. Nyumba ipo karibu sana na barabarani.
Chat with Jimmy mollel
Call Jimmy mollel