15.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam
Details
Description
Appartiments hizi zinapangishwa,imebaki moja tu Kati ya nne zilizopo hapo;. Zipo Kibamba Mangi,Umbali kutoka road ni metre 600 tu. Zina Vyumba vitatu, kimoja master,jiko,sebule kubwa. Kodi ni 350K.
Chat with Ebeneza estate masaki
Call Ebeneza estate masaki