Details
Description
Apartments na nyumba za kujitegemea zinapangishwa kuanzia 1 bedroom hadi 5 bedroom zipo ambazo ni furnished na unfurnished location:masaki msasani kinondoni mikocheni pamoja na mbezi beach na kila moja ina bei yake kulingana na ubora pamoja na ukubwa wa nyumba