Details
Description
IPO Masaki Bakhresa chole Road ina vyumba vitatu vya kulala chumba kimoja ni self ina jiko sitting room dinning room public toilet, slide window, parking, na imo ndani ya fensi Air-condition garden na umeme upo Ipo mtaa mzuri kalibuni sana.