04.11.2022Dar es Salaam

Apartment Inapangishwa

TZS 350 000

Details

Terms
6 Months in advance

Description

Ipo Changanyikeni ina vyumba viwili vya kulala chumba kimoja ni self ina jiko sitting room dinning room public toilet slide window parking na imo ndani ya fensi na ina maji ipo kalibu na barabara kalibuni.

Gaspa J.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam