07.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Apartment for rent

TZS 500 000

Details

Terms
6-months-in-advance

Description

#APARTMENT INAPANGISHWA MAKONGO NJIA YA GOBA, YA NGUVU SANA HII BOSS UKIJA NJOO NA HELA KABISAA __ HII INA Sebule kubwa Jiko la kisasa zurii Vyumba 2 vya kulala, kimoja hapa master Ipo ndani ya fensi na hapa hii ndio ipo waziii Maji na Umeme mita yako Full paving blocks Mazingira matamu sanaaa ? Ya chini ndio ipo waziiiii __ Kodi 500, 000/= × 6 na kuoneshwa site 20 elfu, ukiipenda nyumba hela ya mwezi 1 kwa dalali

Kendrick_onehundred

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam