Details
Description
VYUMBA VIWILI VYA KULALA INAPANGISHWA APARTMENT IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-SALASALA MWISHO WA LAMI ———————————————————- KODI TSHS LAKI 350,000/=MWEZI —— MALIPO YA MIEZI 6 —— APART YA KISASA ____________ YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba viwili vikubwa vya kulala kimoja wapo ni #Master #Sebule kubwa#Jiko lenye #Makabati #Choo/Bafu vya public#Vyandani #Gypsum #Tiles #Slides #Windows #Umeme upo wa #Luku yake #Maji yapo ya #bomba #24hrs Cars #Parking Space ipo Nje FencedApart Garden