Details
Description
VYUMBA VIWILI VYA KULALA INAPANGISHWA APARTMENT IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI- MBEZI BEACH ———————————————————- KODI TSHS LAKI 700,000/=KWA MWEZI ——— MALIPO YA MIEZI 6 —— APART YA KISASA ____________ YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba viwili vikubwa vya kulala kimoja ni #Master #Sebule kubwa# Jiko lenye #Makabati #Choo/Bafu vya public#Vyandani #Gypsum #Tiles #Slides #Windows Full AC #Umeme upo wa #Luku yake #Maji yapo ya #bomba #24hrs Cars #Parking Space ipo Nje #Pavingblocks #fencedapart Garden