Details
Description
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA IPO KWA MSUGURI SIFA ZAKE: CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA SANA DINING JIKO KUBWA PUBLICK TOILET INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.5 USAFIRI WA BAJAJI 700/= PIKIPIKI 1000/= KODI 200'000/= X 6 INAKUWA WAZI TAREHE 22/6/2022 KULIPIA RUKSA