Details
Description
APARTMENT INAPANGISHWA GOBA NJIA 4 KM CHACHE SANA MPKA SITE, NYUMBA YA NGUVU SANA HII BOSS TEMBEA NA HELAAA __ HII INA Sebule kubwa Vyumba 2 vya kulala, kimoja master ya nguvu sana Jiko open kitchen Full AC Umeme na Maji mita yako Full paving Choo cha familia Hapa zipo nyumba 5, ila hii ndio ipo waziii Nyumba kali sanaa mteja tembea hakikisha uji kutaliiii __ Kodi 600, 000/= × 6 na kuoneshwa site 15, ukiipenda nyumba hela ya mwezi 1 kwa dalali