Details
Description
#New Apartment for rent at Kimara Temboni 250k x3 ?Chumba, Sebule, choo & jiko (Open kitchen). Inajitegemea Umeme na Maji ya DAWASA,paving block, fenced, Parking. Nyumba ni mpya kabisa, wewe utakuwa mpangaji w kwanza, ipo hatua nza mwisho kabisa ?Kodi ni 250,000/= ×3 (kodi kuanzia miezi mitatu) ? Zipo Kimara Temboni, Umbali wa Dk 5 tu kwa kutembea pia barabara ni rafiki kwa magari yote ?malipo ya dalali 250,000/= #service charge 20,000/= ---------------------------------------------- #Kama_unaNYUMBA_unaipangisha/kuuza_pia_wasiliana_nami. ?Ndani_ya_DSM_yote.