Details
Description
MPYAAAAA YA KUIWAHI BEI MSELELEKO KABISA INA PANGISHWA KIMARA SUKA KODI 250X6 INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA HAKUNA MASTER ILA INA PUBLIC TOILET YA NDANI NDANI YA FENCE ZIPO MBILI TU NA KILA NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI SEBULE KUBWA SANA JIKO KUBWA SANA MAVYUMBA KAMA UWANJA WA MPILA ZIPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1.5 USAFILI BAJAJI MASAA 24 NAULI 700 UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 3 UPO KWENYE NYUMBA NYUMBA IPO NDANI YA FENCE PAKING KUBWA SANA UKILIPIA INAWEKWA MADILISHA YA ALUMINIUM YAMESHA NUNULIWA BADO KUWEKWA TU MAFUNDI WAPO KAZINI MASAA 24 KWA KASI YA 4G NYUMBA HII BARABARA NI RAFIKI KWA GARI AINA ZOTE KARIBUNI KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHUGG NI 20 NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA