Details
Description
#NICER_APARTMENT_FOR_RENT_AT_KIMARA_SUKA @500K X6 #VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA (KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOMS), SEBULE KUBWA, DINING, JIKO KUBWA LA KISASA, CHOO CHA PUBLIC #AIRCONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA VYUMBANI, GARDEN NZURI, PAVING, CAR PARKING ?APARTMENT HIZI ZIPO 3 KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA YA JUU GOROFANI NDIO IPO WAZI NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU KUANZIA UMEME WAKE NA MITA YAKE YA MAJI DAWASA ?BEI NI 500,000/= X 6 ? IPO: KIMARA SUKA, UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 KWA MIGUU AU UKIPANDA BAJAJI SH 500 UKISHUKA TUU UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA,NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA #MALIPO YA DALALI 200,000/= #SERVICE CHARGE 20,000/=