Details
Description
#Mpya!? #Mpya!?#Mpya!? #Apartment fir rent at Kimara Kona @400k x6 __________________________ #Chumba master, sebule & jiko lina makabati (open kitchen), ina A/c. LUKU yake, maji yanaflow ndani, fensi, parking kubwa, ulinzi upo 24 hrs, garden nzuri sana, gypsum, kuna min super market #Gharama ya maji, ulinzi, usafi wa mazingira, takataka na gardener ni 25,000/= tu #ziko Kimara Kona, dk 5 toka MOROGORO road #bei ni Tshs 400,000/= ×3 (Kodi kuanzia miezi mitatu) #malipo ya dalali 400,000/= #service charge 20,000/=