Details
Description
VYUMBA VIWILI VYA KULALA INAPANGISHWA APARTMENT IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-BAHARI BEACH ____________________________________ KODI TSHS LAKI 550,000/=KWA MWEZI _________________ MALIPO YA MIEZI 6 _______________ APART NZURI YA KISASA _____________ YA KIFAMILIA _______ YENYE:- Vyumba Viwili vya kulala kimoja ni #Master #Sebule #Jiko zuri kubwa #Choo/#Bafu vya ndani public #Gypsum #Tiles #aluminium #Windows Full AC #Umeme upo wa #Luku yake #Maji yapo ya #bomba #24hrs Cars #Parking Space ipo Nje #Pavingblocks